Yemen yaanzisha uchunguzi wa nakala za kale za Qur’ani zilizoibiwa

IQNA

Taasisi za serikali ya Yemen zimeanza uchunguzi wa kutafuta nakala za kale na zenye thamani kubwa za Qur’ani zilizoibiwa mwezi uliopita kutoka kwenye Jumba la Makumbusho la Taifa.
Habari ID: 1309359    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/03